Morning madame!Morning
Morning shemeji sakayoMorning
Amen, ubarikiwe sana9 Moyo wa mtu huifikiri njia yake; Bali Bwana huziongoza hatua zake.
Mithali 16 :9
-Nawasalimu kwa jina Bwana lipitayo majina yote,tumuombe yy aziongoze hatua zetu,nawapenda makapuku wenzangu mbarikiwe sn [emoji120][emoji120]