Makapuku Forum

TOP TEN
Wakati Jf kuna pipo zinajiona ni maarufu wakati umaarufu wao ni wa humu humu ukienda Google huwezi kuwapata hata Facebook.....Humu maarufu wa kweli ni Maxence Melo na kubwa jinga Le Mutuz halafu kuna mtu kama Ontario ambaye now walau hata sura yake tunaifahamu....wengine wote umaarufu wao labda upo kwenye kuta za vyumba vyao tu ila Umaarufu bila pesa ni kazi bure lengo langu leo siyo kuwaponda watu bali kuwazungumzia watu kumi maarufu zaidi ever duniani

Yaani watu ambao wanafuatiliwa zaidi huko kwenye mtandao mkubwa wa Google ili waru asome habari zao

NB
Niyaandikayo hayahusiani na udini hivyo wafia dini mnisamehe nikiwataja watu wenu maana lengp limeshaelezwa hapo juu
Karibuni
......
 
Umepiga jiwe mezani Ukisikia uuuwii
Ujue tayari

Habari yako bitoz
 
10/Sir Isaac Newton
Alizaliwa mwaka 1642 na kufariki dunia mwaka 1727
Kama ulisoma sayansi walau kidato cha pili tu halafu humjui huyu mtu basi ulienda shule kusomea ujinga badala ya kuondoa ujinga
Ameandikwa kwebye vitabu karibia 500,000 na inakadiriwa umaarufu wake hautaweza kupitwa na mtu landa baada ya miaka zaidi ya 250
Jamaa ni mfalme wa Mechanical Physics na umaarifu wake mkubwa upo kwenye Newton's Law of Motion wala sikusimulii inasemaje kama ulikimbia umande shauri yako
Pia jamaa ni noma linapokuja suala la Principles of Natural Philosophy

Kwa mwezi anafuatiliwa (searched) na watu zaidi ya X 2,000,000
..........
 
9/Leonardo Di Ser Piero Da Vinci
Alizaliwa mwaka 1452 na kufariki dunia mwaka 1519
Huyu jamaa hapendwi kabisa na wakristo kutokana na baadhi ya Code Pictures kuhusu kanisa na mambo mbalimbali ambazo zinajikita kwenye kutoboa siri ya mambo yaliyojificha
Japo hapendwi ila yeye ndo aliyetuchorea sura ya bwana Yesu tunayoiabudu makanisani kwani baada ya kuichora ndio wakatafutwa watu wanaofanana nayo na kuigiza filamu za Yesu na hata picha za vitabuni
Jamaa pia ana mchoro wa The Last Super ambao una code zinazoonesha Yesu alikuwa na demu
Vipi juhusu Monalisa ?...kuna asiye hujua?
Ila jamaa anadaiwa alikuwa shoga
Kaandikwa kwenye vitabu zaidi ya 6,000,000

Kwa mwezi anatafutwa zaidi ya X 4,000,000
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…