Namtafuta Baba D wangu jamaan simuoni sina taarifa zozote akija naombeni mumwambie mkewe namtafuta nimemmiss sana na ninampenda sana lee wangu me shunie
Kweli shemeji japo mi huwa nashauri sio lazima ukaenda huko ukiwa na nafasi unaweza kuwatembelea wanao Fanya shughuli za ufugaji na kilimo unaweza kujifunza mengi zaidi