9/Nora Roberts
Alizaliwa Oktoba 10 mwaka 1950 hivyo ukimwita bibi hujakosea
Huyu mama akiwa na miaka. Sita tu alianza kuonesha kipaji na kuwa kipenzi cha mabinti wenzake na hivyo kutobanduka pembeni yake
Ni mkali wa riwaya za mapezi ukisema Chombezo hujakosea
Kitabu chake cha Jewels Of Bthe Sun ndio balaaa
Kndika vitabu zaidi ya 10,000 na vimebamba ikiwepo kukaa kileleni kwenye New York Times
Pia keshaandika kitabu kuhusu Delia
.........