Lee ni mjukuu mkwe wangu tatizo Obe anampelekaga kwa waganga na wale wanatuchonganishe.....wanamwambie eti mimi namnyatia mjukuu yaani mke wake...........WAGANGA FITNA SANA MJUKUU MWEE.
Yup!Hahaaaa....
Rutashubyanyuma yupo [emoji3][emoji3][emoji30][emoji55]?
Wewe jitahidi usiende kwa waganga....wanaweza kukwambia unaumwa kwa sababu shululu anakuloga[emoji16][emoji16][emoji16]Sawa babu
Tumosa umeamini?waganga wamemdanganyaBabu wapiii nshamkataza mazoeaa
Subiri keshoo pic zolizpo ni zangu tuu naonekanaTupe picha za zenji
Nahesabu tu ahadi mkwe.Hahhaa...
Nakuja physically kabisa sasa [emoji3][emoji3]
Na uzee huu....mademu basi....mimi mshauri tu.Mpeni demu baaaasiii
Msalimie mkuu [emoji3]Yup!
I will!Msalimie mkuu [emoji3]
Hahahaa ... PouwaSubiri keshoo pic zolizpo ni zangu tuu naonekana
AiseeeTumosa umeamini?waganga wamemdanganya
Waganga waongo Obe....wanakupa dawa ya kupata utajiri lakini wao wenyewe kandambili rangi tofauti....ha hahahahha, wewe mzee wa kungoa huaminiki kama mmasai, na lazima tuwe macho sana na wewe maana huishii kuangalia tu unataka na picha.
Kwa waganga kwa kweli mimi huwa naenda na nitagraduate hivi karibuni,
Wewe ng'ombe hazeeki maini [emoji3][emoji3]Na uzee huu....mademu basi....mimi mshauri tu.
Mbona unatoa siri sasa[emoji22][emoji22][emoji22]Wewe ng'ombe hazeeki maini [emoji3][emoji3]
Wewe mtoro sana..... Unajua napata tabu wa kuzungumza nae [emoji16]Hommie salama humu.....
Hahhaaaa...Mbona unatoa siri sasa[emoji22][emoji22][emoji22]
Heshima yko binamu
Picha ya nini Obe?...ha hahahahha, wewe mzee wa kungoa huaminiki kama mmasai, na lazima tuwe macho sana na wewe maana huishii kuangalia tu unataka na picha.
Kwa waganga kwa kweli mimi huwa naenda na nitagraduate hivi karibuni,