Makapuku Forum

5/An Lushan Rebellion
Vita ilianza mnamo mwaka 755 hadi hapo mqaka 763 yaani mwishoni mwa karne ya 8

Ilipiganwa huko China wakati wa utawala wa Tang Dynasty
Vita ilianza pale An Lushan ambayecalikuwa ni Jenerali wa zamani wa Tang Dynasty kujitangaza hadharani kwamba yeye bdo mtawala mpya wa himaya hiyo na asiyempenda anywe tu sumu au ajinyonge
Baada ya kujitangaza kuwa yeye bdo mtawala akaanzisha Yan Dynasty huko Kaskazini mwa nchi ya China
Uasi huo ukasababisha vikoloni vitatu vya Tang Dynasty kutaka kuanguka
Wengi walipoteza naisha kutokana na vita na kudorora kwa uzalushaji mali

Watu takribani 30,000,000 walipoteza naisha
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…