Nilitaka kushangaa na kumchumia dhambi ndugu yangu shululu . Mimi nakujua wewe ni shabiki wa ukweli yaani nisamehe bure. Halafu hawa watoto utundu wao utawafikisha level za Tundu Lissu kielimu hasa huyu J mkubwa
Nakupenda sana , umenigusa sana , sijui we ni mwanamke wa aina gani, i can make imaginations, ur such very smart & God mfearing woman. Thanks for script, be blessed, ur real friend
Ha ha ha ha ha ha ha ha.... Hapa kwetu kuna jamaa aliandika gari yake 'babu kessy' na akawa kweli anaitwa babu kessy lakini umri wake ulikuwa haufiki miaka arobaini.... Sasa mimi nimefika na kupita si ni kibabu tu mimi Shunie.?