Makapuku Forum

Unataka kumngoa husna nn ??


..yaani wewe ndo mjomba wangu wa ukweli, unajua mbinu zote za watu wenye hila, yaani una uzoefu na michongo yote ya mzeewakungoa
Halafu anko unajua kuna watu wanakulisha maneno hukuyasema wanasema umesema hata mimi sijasema wanasema nimesema.

Inabidi list ya wabaya tuiunganishe wabaya wangu wawe wako na wabaya wako wawe marafiki zangu
 
Binamu sasa ngoja nikwambie ujue mjomba wako aliniambia eti binamu obe kakupeleka kwa mganga nini
 
Ha ha ha ha ha ha.... Unanikumbusha ule usemi tulipokuwa wadogo.... Tulikuwa unamwambia rafiki yako : 'Aaa wewe na mimi dam dam.. Mke wako mke wangu mke wangu dadaako ....ha ha ha ha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…