Makapuku Forum

Binamu yangu asante sana jamaan ubarikiwe sana [emoji8]
 
Binamu kuhusu simu ya tumosa ebu ngoja aje yaan binamu ukiona kwangu umepigwa fitna simu yangu anayo anko wako
 
Mm naanzaje kukupga vjembe Obe unajua kbsa me npo upande wko labda hawa watoto wamechezea cmu yngu Shululu hawezi fanya hvo
 
Sawa my love

[emoji178] [emoji178] [emoji178] [emoji178]
Katika makapuku mimi peke yangu ndo ninayeikubali hii couple yenu kikwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…