Makapuku Forum

Leo katika Historia

1990 - Belarus inajipatia Uhuru wake toka kwa USSR.
Lakini ilipofika mwaka 1996, walibadilisha tarehe yao uhuru na kuwa June 3.

Raia wao pekee ninayemfahamu ni Alexander Hleb
.......
 
Pamoja sn rafiki wa ukweli jimena jimeles!
 
Leo katika Historia:

1965 - Jose Luis Chilavert anazaliwa.
Golikipa wa zamani wa Paraguay.
Alikuwa mashuhuri sana kwa kupiga free-kick na moja kati ya magolikipa waliokuwa wanafunga sana magoli.
Alikuwa na mwili jumba
Hakupenda masihara na mabeki wake wazembe alikuwa anafoka zaidi ya mkulu
Mwaka 1999 kwenye mechi ya Velez V Ferro Carril Oestre aliweka rekodi ya Golikipa wa kwanza duniani kupiga hat trick kwenye meci ya ushindani
.......
 
TOP TEN
Ni siku nyingine iliyopooza ....Waswahili husema sio kila siku ni Jumatatu wakimaanisha siku hazilingani pia wiki,miezi au miaka hailingani inatofautiana kwa matukio hivyo basi sio kesi

Kwa Bongo mapacha maarufu ni Maria na Consolata na kwa Nigeria huko nafikiri ni Okore Brothers(P Square)
Leo tuangalie mapacha kumi maarufu zaidi duniani
Mnakumbuka kuna siku tuliongelea mapacha walioungana ila leo tunaongelra mapacha wa kawaida

Karibuni

................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…