[emoji3][emoji3][emoji3] baba d bado hajakuja tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] pole leo umeota unasoma hadithi eeeh
Vipi lakini unaendeleaje mpenziahsantee dear
Barikiwa sana
Barikiwa shemelaAmen
Nafurahi kusikia hivyo shemelaTumeamka shemela
Asante shemela wangu kwa udhamini muke ya pedeshee lee muzee ya peremende muzee ya batoto wengiii waremboTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa shemela wangu shunie
[emoji134] [emoji134] huyo kigogo atarudishaje kila senti katika hayo mabilioni
We Baba sijajuta kukupa kura yangu aisee tukutane 2020
[emoji23][emoji23][emoji23]umesalimika wewe na mumeo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ndio binamu obe
Jukwaa la chini ndio lipiNgoja niende kwenye jukwaa la chini yaani hakuna anayejua mlalo wa kususiwa.
Tutaonana baadaye
Daah hii ya cuf inasikitisha halaf ndugai ameridhia kufukuzwa kwao huyu lipumba huyu kweli anatumika
R.i.p NorahMichezo burudani na udaku View attachment 551510
Asante shemela wangu mieView attachment 551524Sina la ziada kutoka magazetini,nawatakieni wote siku njema
Thanks dingimtoto be blessed [emoji120]Good morning familyView attachment 551525
[emoji120] asante shemUbarikiwe nawe pia miss shunie..!!
Mbona haujawabadili mke mwee wakina jjMorning hubby
Hbd Triple HLeo katika Historia
1965 - Triple H. Mcheza mieleka toka Marekani anazaliwa.
Aiseee kwahiyo leo ni kulala tu hukoLeo katika Historia
Leo ni siku ya Usingizi nchini Finland.
Asante cuzoo kwa historiSina la ziada tukutane tena kesho, kwa udhamini mnono wa yule mbabe aliekuwa anapiga milioni kila dakika ambapo basi tukio hilo la kihistoria linatimiza mwaka siku ya leo toka kugundulika
Ila kumbuka sio kila dakika ni milioni japo kuna dakika zingine zina mamilioni
Niite Jimena Jimenes
Hasta la Vista!!