Chaguo La Wapendanao
Mtaasisi
Nyagei chaguo lako la wimbo wa The Bangles kwenda kwa
Linamo halijaachwa, na kiukweli umenipa kitu maana kuna wimbo huwa ninaupenda ila leo umenifanya nijue nani kauimba. The bangles wanapiga Pop music na nitaweka nyimbo zao mbili kwa ajili ya huyu Linamo unayevutiwa na kumpenda sana
Na huu ndiyo naupenda zaidi