Makapuku Forum

MUSIC AND LIFE

Kazi kwako mtaasisi najua baadae utakuja hivyo nawasilisha ombi langu la wimbo mmoja mzuri tu umeimbwa na kama bendi ya The Bangles, Atomic Kitten na Debbie Gibson wewe utachagua uweke wa mwimbaji yupi.

Asubuhi akija wife akute surprise hiyo ya huo wimbo. Wimbo wenyewe unaitwa Eternal flame nakuaminia mtaasisi huwa hautuangushi wasikilizaji wako.

Mwisho wa yote niwatakieni usiku tulivu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…