Makapuku Forum

Kiranja mtengenezaji.

Aliitengeneza Iraq, akaigusa Somalia akahamia Afghanistan akarudi Iraq, akaenda Libya akaingia Syria na sasa anaelekea Korea Kaskazini.

Huyu kiranja mtengenezaji anatengeneza kwelikweli mambo mazuri ya kupendeza na watu wote wanamsifu na kumtukuza kwa namna bora ya utengenezaji.

Binafsi kwa jicho la tatu namtazama kiranja huyu na kubaini kuwa hajawahi kutengeneza yaliyo mema kote huko alikokwenda kwa hoja ya kutengeneza, jicho langu linanionesha kiranja huyu ni mharibifu, kila anapoingia akijinadi anakwenda kutengeneza basi fahamu kiwa anakwenda kuharibu na kupaacha penye shida kubwa kuliko kabla hajaenda mtengenezaji.

Kiranja mtengenezaji ifike mahala ujitathmini. Rudi VETA ukajifunze tena namna bora ya utengenezaji. Ni hayo tu.
 
6/ Hockey[ ]
Huu mchezo unaweza kuudharau lakini ni hatari kinoma
Sababu?
Wachezaji huvaa kofia ngumu na viatu vya kuteleza/matairi hivyo kusababisha mtu kuanguka kwa urahisi na pengine kujigonga ukutani pindi akisukumwa
Sasa pia unaweza kujikuta unateleza na kuchanika msamba
Huu mchezo unahitaji umakini mkubwa na nguvu
Mara kadhaa wachezaji hufanyiana ubabeubabe tu

........ ......
 
Ndio namkumbuka ila mchezo pekee Wa ngumi niliowahi kuuangalia mie ni uleeee Wa Tyson kumng'ata sikio evander afu hata sikumbuki ulikuwa mwaka gn maana kitaambo saana enzi hizo bado sijawa muhenga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…