Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
GoodNUKUU YA LEO.
If you love life, don't waste time for time is what life is made up of.
Kama unapenda maisha, usipoteze muda , muda ndio unaofanya kuwepo na maisha.
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwigizaji/mtengeneza filamu na mcheza judo wa kichina Lee Jun-Fan alimaarufu kama Bruce Lee.
Bruce Lee alizaliwa 27/11/1940 Huko Franscisco Marekani na kufariki 20/07/1973 huko Kowloon Tong, Hong kong.
Bruce Lee anakumbukwa kwa kazi nzuri kama Fist of Fury, Way of the Dragon na The big Boss.
Kifo cha bruce kinaacha utata mkubwa japo madaktari wa hospital ya Queen Elizabeth wanadai alifariki kwa allergy ya painkillers za meprobamate.
Time is life, life is time..!
Hii nilishaitoa siku za nyuma ila nimeileta kwa hisani ya historia ya leo.
Leo ndio siku aliyofariki..
Cc Bitoz na Jimena
ZoteSamahani hv unaweza kupiga danadana ngap
Alikufa angali bado kijanaNUKUU YA LEO.
If you love life, don't waste time for time is what life is made up of.
Kama unapenda maisha, usipoteze muda , muda ndio unaofanya kuwepo na maisha.
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwigizaji/mtengeneza filamu na mcheza judo wa kichina Lee Jun-Fan alimaarufu kama Bruce Lee.
Bruce Lee alizaliwa 27/11/1940 Huko Franscisco Marekani na kufariki 20/07/1973 huko Kowloon Tong, Hong kong.
Bruce Lee anakumbukwa kwa kazi nzuri kama Fist of Fury, Way of the Dragon na The big Boss.
Kifo cha bruce kinaacha utata mkubwa japo madaktari wa hospital ya Queen Elizabeth wanadai alifariki kwa allergy ya painkillers za meprobamate.
Time is life, life is time..!
Hii nilishaitoa siku za nyuma ila nimeileta kwa hisani ya historia ya leo.
Leo ndio siku aliyofariki..
Cc Bitoz na Jimena
Asante habari ya hapo ulipoSwaaf tu
Asubuhi njema
....
[emoji113] [emoji113] [emoji113]Endelea kusubiri, ngoja nikupe jina la yule maarufu kabisa aliyezaliwa leo, na ana majina kibao mara aitwe Faranga, Hela, Pesa, Money, ila mimi napenda jina lake liendane na wale mapacha wenzake, mmoja anitwa Pombe (sio rais)... na pacha mwingine unamjua?
Good morning Wadau