Makapuku Forum

10/Poison Dart Frog
Ana rangi mbalimbali za kuvutia wapo wa zambarau,wekundu,kijani n.k
Wanapatikana huko Amerika Kusini na pia Amerika ya kati
Hapa nazingumzia chura mtemi haswa japo ana umbo dpgo kati ya Sentmeta 1.5 hadi 6....Kama umezoea kuwapigapiga teke vyura wazembe wazembe kitaani kwenu basi ukienda huko Amerika Kusini chunga sana la sivyo utaumia
Silaha take kuu ni sumu iliyo mwilini mwake yaani anatema sumu pia nafikiri ngozi yake nayo majanga
Uzuri wa ngozi/rangi zao wanazitumia tu kama chambo na kupumbaza maboya
.....
 
Wamependeza na rangi zao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…