Jioni ya Gospel:Chain Breaker
Karibu Kapuku mheshimiwa katika muziki wa gospel, huu ni muziki kwa wote Makapuku bila kujali unaamini au kuabudu katika madhehebu yapi. Muziki hutuleta pamoja na kwa kuwa sisi hapa jukwaani hatuna gogoro na imani ya kila mmoja, tunaheshimiana basi muziki usilibe (cementing) heshima tuliyojijengea
Leo tumekosa neno
Shunie sijue kenda wapi ila sio ishu, naamini utaburudika. Anaitwa Zach Williams toka US akiimba Chain Breaker, unakumbuka wimbo 'ewe mtuliza bhari eeeh'..