Makapuku Forum

Heshima kwako kapuku mwenzangu
Mtaani kwetu Jana tanesco walifanya yao na HV vitecno vyetu vya kuchaji kila siku basi ilikuwa majanga tu
Km kawaida mi sio mzee Wa kuskip page so ukiona naquote SMS ya mwaka juzi ukae kimya tu

OK muwe na asubuhi njema wote especially binamu Wa Lee mpendwa/mpenzi Wa Mimi DJ Wa makapuku Mimi penda sana wewe mutu kwakweli
 
Morning shemejiiii languuu pendwaaa mtalaka wa shedy ....


Wewe utafukua makaburiii
 
Husna mzima
 
poleee tuliza munkari

Kwanza umeshakuwa muhenga now tulia ujenge familia acha kulilia midisco
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…