ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
Basi utasubiri sana.Mkuu nilikuwa naskiaga jina flani zuri sana na lilinivutia kumwona mhusika, ck nilipobahatika kumwona!...sisemi tena...hili jina lina historia acha libaki...kwanza linachuja mbu wengine wasinizoee
Hatari sana.Hatarii
Usisahau kunipa nyunyuzi kutoka kwake.Mkuu mimi mwenyewe sijui, ila kwakuwa alikuwa ananisubiri nirudi ni imani yangu kwamba atarudi anieleze kwa kirefu.
Majina na avatars zinaweza kukuingiza chaka la nyaniHatari sana.
Usiamini avatar na majina mazuri....
Sina cha kusubiri niko kamili mkuuBasi utasubiri sana.
Salama Shem. Za kwako?Habari za sahizi?
Salama kabisa Shem. Wifi anaendeleaje?Salama Shem. Za kwako?
Na mimi nabadilisha jina soonHahaha.
Mkuu nakumbuka ulipewa ushauri hapa ubadili jina ukakataa sasa haya ndiyo madhara yake.
Yupo hapa anadeka tuSalama kabisa Shem. Wifi anaendeleaje?
Ili iweje.Na mimi nabadilisha jina soon
Mkuu vipi.Namuona pastor kwenye ubora wake
Nichagulie kwanza nitakupa sababuIli iweje.
Labda ujiite mende.Nichagulie kwanza nitakupa sababu
Bado tu hujaacha?Mkuu vipi.
Nilikumiss sana.
Mpe HiYupo hapa anadeka tu
We kweli mende aisee. Jina gani hiliLabda ujiite mende.