Makapuku Forum

Oh yeah hapa kweli wewe ni muhenga mwenzangu.
Hii ndo ile sauti ya mafuamafua unayoipenda. Honestly, nilikuwa najua kudance dancehall sio miziki ya siku hizi mikono juu kama taarabu. Got to love you, asante sana
Mi hadi sasa ukitaka ujue uwezo wangu wa kudance dj azitendee haki speaker kwa kutupia dance hall za hatari
Bila kusahau Wild tonght ya kwake ya Shaggy akiwa amemshirikisha Olivia

Sijui maisha yangekuwaje kama mziki usinhekuwepo?
Je Jimena angeipenda dunia kama aipendavyo sasa??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…