BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Pole kwa kupinduliwa rais wa Mauritania Moktar Ould DaddahLeo katika Historia
10/7/1978 Rais Moktar Ould Daddah wa Mauritania anapinduliwa madarakani katika mapinduzi yasiyohusisha umwagaji damu.
Njema karibuZa asubuhi kapuku
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Heri ya siku ya kuzaliwa Ludovic GiulyLeo katika Historia
10/7/1976 - Ludovic Giuly. Mchezaji wa zamani wa Ufaransa na Barcelona anazaliwa.
Hongera raia wa Bahama kwa siku ya uhuruLeo katika Historia
10/7/1973 - Siku ya Uhuru wa Bahama.
Hongera kwa uzinduzi Telstar Satellite ya kwanza ya mawasilianoLeo katika Historia
10/7/1962 - Telstar. Satellite ya kwanza ya Mawasiliano yazinduliwa huko kwenye Orbit.
Hongera rais Boris Yelstin rais wa kwanza kuchaguliwa UrusiLeo katika Historia
10/7/1992 - Boris Yeltsin anakuwa Rais wa kwanza kuchaguliwa nchini Urusi.
Asante sana mkuu JJ na udhamini wa mwaka mmoja na miez mitatu wa MAKAPUKU FORUM Mbarikiwe,MAKAPUKU IDUMU,UPENDO UDUMUKwa udhamini mnono kabisa wa mwaka mmoja na miezi 3 ya Makapuku Forum karibuni sana katika historia
Atakua amekuja kuendesha kanisa na TV ya wazazi....unakumbuka wale wenye ATN..ANNE FERNANDES KULE MBEZIHuyo Mtanzania ameacha au amekataa?
Mbona hutuambii unaendeleaje tumelala na hofu...tunakuombeaAtakukujibu yy
Majukumu yanaendaje chiefNiko salama mkuu,