Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 11, 2016 #2,281 youngblood said: Mkuu Th Name njoo huku. Click to expand... Tayari huyo. Acheck list tu
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,046 Apr 11, 2016 #2,282 Th Name said: Tayari huyo. Acheck list tu Click to expand... Poa mkuu
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Apr 11, 2016 #2,283 Th Name said: Nimekusoma. Ngoja nikuweke kwenye list Click to expand... Kwanini hukuniweka? Braza
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 11, 2016 #2,284 sumbai said: Kwanini hukuniweka? Braza Click to expand... Samahani sana. Ngoja nikuwekee
HULILO JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 281 Reaction score 391 Apr 11, 2016 #2,285 Thoomas said: Pamoja sana Makapuku oyeeeeee Click to expand... hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Apr 11, 2016 #2,286 lizziebettie said: Thanks shem Click to expand... Shem habari za usiku
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 11, 2016 #2,287 youngblood said: Hii kitu ni balaa Click to expand... te te te te vipi kapuku uliwahi na wewe kuitumia!!
youngblood said: Hii kitu ni balaa Click to expand... te te te te vipi kapuku uliwahi na wewe kuitumia!!
HULILO JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 281 Reaction score 391 Apr 11, 2016 #2,288 youngblood said: Harakati zinaendelea,daima mbele nyuma mwiko. Click to expand... Tuko pamoja bila kuchoka
youngblood said: Harakati zinaendelea,daima mbele nyuma mwiko. Click to expand... Tuko pamoja bila kuchoka
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 11, 2016 #2,289 damtanzania said: Asanteni sana kwa upendo wenu. Click to expand... Mkuu! Leo ulipotelea wapi? Nilikumiss sana.
damtanzania said: Asanteni sana kwa upendo wenu. Click to expand... Mkuu! Leo ulipotelea wapi? Nilikumiss sana.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Apr 11, 2016 #2,290 HULILO said: hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Click to expand... Swalama ? Braza
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,046 Apr 11, 2016 #2,291 Zamaulid said: te te te te vipi kapuku uliwahi na wewe kuitumia!! Click to expand... Mkuu mpaka leo natumia na sina mpango wa kuacha.
Zamaulid said: te te te te vipi kapuku uliwahi na wewe kuitumia!! Click to expand... Mkuu mpaka leo natumia na sina mpango wa kuacha.
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 11, 2016 #2,292 sumbai said: Shem habari za usiku Click to expand... nimeukumbuka ule wimbo wa shemeji shemeji huku wazima taa
sumbai said: Shem habari za usiku Click to expand... nimeukumbuka ule wimbo wa shemeji shemeji huku wazima taa
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 11, 2016 #2,293 Nahrene said: Yaani ukichelewa kama lisaa unakuta umeachwa mbali Click to expand... Hatuachi 'gepu' asee.
Nahrene said: Yaani ukichelewa kama lisaa unakuta umeachwa mbali Click to expand... Hatuachi 'gepu' asee.
lizziebettie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 2,873 Reaction score 11,966 Apr 11, 2016 #2,294 sumbai said: Shem habari za usiku Click to expand... Nzuri shem
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,046 Apr 11, 2016 #2,295 sumbai said: Shem habari za usiku Click to expand... Hizi ndoa zimefungwa lini,naona mashemeji wamezidi.
sumbai said: Shem habari za usiku Click to expand... Hizi ndoa zimefungwa lini,naona mashemeji wamezidi.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Apr 11, 2016 #2,296 Zamaulid said: nimeukumbua ule wimbo wa shemeji shemeji huku wazima taa Click to expand... Nmemkubali shemeji... Heshima kwa Th Name
Zamaulid said: nimeukumbua ule wimbo wa shemeji shemeji huku wazima taa Click to expand... Nmemkubali shemeji... Heshima kwa Th Name
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 11, 2016 #2,297 youngblood said: Mkuu mpaka leo natumia na sina mpango wa kuacha. Click to expand... ha ha ha ha mshenzi wewe umesababisha nicheke kwa sauti kubwa kwenye daladala....
youngblood said: Mkuu mpaka leo natumia na sina mpango wa kuacha. Click to expand... ha ha ha ha mshenzi wewe umesababisha nicheke kwa sauti kubwa kwenye daladala....
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 11, 2016 #2,298 damtanzania said: Ndugu yangu mchango wangu hujauona bado? Thread inasonga kwa kasi ila narudi nilipoishia na kugawa likes, nimetoka kushusha makontena ya likes bandarini Click to expand... Usisahau kupita na kwangu ili uweke alama!
damtanzania said: Ndugu yangu mchango wangu hujauona bado? Thread inasonga kwa kasi ila narudi nilipoishia na kugawa likes, nimetoka kushusha makontena ya likes bandarini Click to expand... Usisahau kupita na kwangu ili uweke alama!
hassandady JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 201 Reaction score 76 Apr 11, 2016 #2,299 EMMYGUY said: Endelea kuwasajili Mkuu, hili ni chama kubwa MAKAPUKU TEAM. Click to expand... TEAM MAKAPUKU OYEEEEE
EMMYGUY said: Endelea kuwasajili Mkuu, hili ni chama kubwa MAKAPUKU TEAM. Click to expand... TEAM MAKAPUKU OYEEEEE
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 11, 2016 #2,300 youngblood said: Hizi ndoa zimefungwa lini,naona mashemeji wamezidi. Click to expand... Humu shemeji/wifi anajulikana mmoja ambaye ni lizziebettie huyu ni kipenzi cha moyo wangu
youngblood said: Hizi ndoa zimefungwa lini,naona mashemeji wamezidi. Click to expand... Humu shemeji/wifi anajulikana mmoja ambaye ni lizziebettie huyu ni kipenzi cha moyo wangu