Shukrani sana mkuu JJKutoka kwenye meza ya Historia sina la ziada. Jina langu naitwa Jimena Jimenes.... Nawatakia maandalizi mema ya sikukuu ya 7 7
Kumbuka tu leo katika Historia ililetwa kwenu kwa udhamini wa vichwa vya treni huko bandarini vilivyoshuka kutoka juu mbinguni.
Ciao[emoji7]
Hatutaki maneno mengi
Amen madam
KaribuShukrani sana mkuu JJ
Niyonzima vipi?
Maneno yanachoshaHatutaki maneno mengi
Tunataka vitendo tu
.....
NimeshakaribiaKaribu
Zamani kidogo kitaani nimewahi kushuhudia ndoa ya mkeka ila kisheria ndoa ni makubaliano/maridhiano baina ya watu wawili kuishi pamoja
Be blessedAmen madam
Enzi uzi unaanza. Kipindi hicho alikuwa anaitwa JambiloMbali wapi huko? [emoji101]
Sababu ndio the only Haruna anaeweza kujisajili SimbaNiyonzima vipi?
Keshasaini Simba au kasaini Bongo muvi
Watani mchukueni tu Prof Hakuna Lipumba wa CUF Fc
.....
Leo katika Historia
6/7/1967 - Nigeria yaivamia Biafra na kusababisha kuzuka kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Na itakuwa bonge la usajiliSababu ndio the only Haruna anaeweza kujisajili Simba
Neno Kapuku halina maana yoyote ni swaga tumaana ya makapuku ni nini? nieleweshen kwanza
Ni kweli yankulazimishana ni mbaya sanaZamani kidogo kitaani nimewahi kushuhudia ndoa ya mkeka ila kisheria ndoa ni makubaliano/maridhiano baina ya watu wawili kuishi pamoja
"Kuwalazimisha" kunaifanya iwe batili
........
Karibuu...new kapuku in da hausii