Sawa binamu kila la kheriNimekuelewa anko, nitamuwekea muziki atulie maana tayari kishaanza kunipiga mkwara eti nichagua niko upande gani, hivi anko kweli mimi ninaweza kuwa upande usuiokuwepo wewe kweli?
HahahaAkiiii kupatwa kwa shuniiii [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Nashukuru na mm kwa mama mchuchu tunaenda tumeurambaaaaa...yaani anko msiachiane kabisa. Ukiamua kitu hayupo wa kupinga maana wewe ni mjomba wangu nakuunga mkono
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ya kesho yaaani...
Ya leo nshasomaaa
Nakuonaa nakuonaaaWoyooooooooooo
Kwanza kata zoea na mke wangu mkuuNa kesho hakuna kupashanaa
Binamu amekusaidiaa mangapiii??Ooh kumbee maslahi ya muda mfupiii basi binamu hakuendekiii kwa mama mchuchu
Upo upande upiiii
NdioMagazetii
[emoji6] [emoji6]Kukupenda ndio uniletee mke mwenza hapana aisee
Niko upande wakoNimekuja shemela wangu mie na we upo upande ganiiiii
Nakuamini mume wangu....Nimekuja
Sante dadaHahaha
Pole mnoo jamani
Tena wa nyamaIla ajue una moyo
Nipo mimi dada [emoji4]Nakuonaa nakuonaaa
Nisamehe my lovePole pole Lee
Pole pole mke wa T
Kama kanisaidia mengi ndio nipende mnayoyafanyaBinamu amekusaidiaa mangapiii??
Mie nikisikia jina lako tuu mie hooooiNakupendaaaaa[emoji7][emoji7]
Ndo nashangaaa binamu tena niliyepigwa kwa ajili yako usinitetee ...make ule msala wee poaa bhana ntasemajeeNimekuelewa anko, nitamuwekea muziki atulie maana tayari kishaanza kunipiga mkwara eti nichagua niko upande gani, hivi anko kweli mimi ninaweza kuwa upande usuiokuwepo wewe kweli?