Dikteta kabanwa na kazi Hivyo anayeweza kurithi segment yake afanye Hivyo hadi pale kazi zikipungua atarejea
Mwenye nia anifuate chemba nimfundishe maujanja au njia simple ya kuzipost
Mimi nina mzigo mkubwa wa segment Hivyo siwezi kufanya kila segment
.........
Morning..
Le Empire
Bitox
Obe
Shimba ya buyenze
Shululu
Musolin5
Husna muba
Nyagei
Werasson
Shunie
Sakayo
Jimena
Etc
Nawamiss sana story zenu na nataman tushinde wote humu but shughuli zinabana..
Mama mchungaji niombe tafadhari