Makapuku Forum

Asante sana mdau, afu unajua nilichanganya madesa nikaweka nyimbo ya mkono wa Eid badala ya wimbo wake unaitwa Loliwe 😱😱😱 yaani nashukuru wadau hawajaufungua kuusikiliza
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Unategemea nini sasa anko, uone maua yanakupita tu na wewe umesimama yaani bora mstimu naweza kuukwepa ila maua sasa yaani flowers.

Naruhusiwa kuchanganyikiwa mjomba, uongo?
[emoji134] [emoji134] [emoji134]

Pole mpendwa wangu jaaamaani

Ujue mie nakuonea huruma saana
 
Morning..
Le Empire
Bitox
Obe
Shimba ya buyenze
Shululu
Musolin5
Husna muba
Nyagei
Werasson
Shunie
Sakayo
Jimena
Etc
Nawamiss sana story zenu na nataman tushinde wote humu but shughuli zinabana..
Mama mchungaji niombe tafadhari
 
Morning..
Le Empire
Bitox
Obe
Shimba ya buyenze
Shululu
Musolin5
Husna muba
Nyagei
Werasson
Shunie
Sakayo
Jimena
Etc
Nawamiss sana story zenu na nataman tushinde wote humu but shughuli zinabana..
Mama mchungaji niombe tafadhari
Miss u too.... Wajibika tu maana bila hivyo watoto wazuri wote utaishia kuwaita shemeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…