Aunt, shwari lakini! Usione hujapata mwaliko ukasema sipo, sijakaribisha maana nimekaribishwa tu hapa yaani ni mwendo wa pilau acacia, nyama nyingi kuliko mchele, mchele robo umekaangwa nazi tatu.
Nitarudi tena maana hapa nishamaliza round ya kwanza.