3/Eid Al--Fitr
Husherehekewa kutegemeana na kuandama kwa mwezi kati ya Juni 24 hadi Juni 26
Huadhimishwa na Waislamu duniani note baada ya kumaliza mwezi mtukufu wa Ramadhani(swaum)
Ni sherehe ya Siku moja ya kidini
Waislamu fafanueni zaidi Eid Mubarak
......