Makapuku Forum

TOP TEN
Gongo nililokunywa halijapanda sana kichwani ndio maana nimeamua kushusha kumi kubwa

Leo ni sikukuu ya Idi ampapo Waislamu duniani note wamesherehekea baada ya Siku 30 za kushinda na njaa mchana kutwa
Sasa leo nakuletea sikukuu 10 zinazoadhimishwa na watu wengi zaidi duniani au tuseme sikukuu kumi maarufu zaidi duniani
Karibuni
.......
 
Ile supuuuu mkuu..
 
Kazi nzuri mkuu muso..
 
Asante
 
10/Spring Bank UK
Ni sherehe maarufu nchini Uingereza....huko kwao inajulikana kama Late May Holiday
Ni kipindi ambacho watu huwa likizo kikazi na masomo/shule...huwa inaangukia Jumatatu ya mwisho ya mwezi May ila pia huwa Jumatatu baada ya Pentecost
Watu wengi huchukua likizo ili kuzunguka sehemu mbalimbali ndani na nje ya Nchi pia kujumuika pamoja na familia zao(kama huna familia anzisha hata familia ya paka)
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…