Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] kasepa na kijiji yaan nazidi kuiogopa jf halaf nakumbuka mambo yako ya jana usiku eti anasema mpm sijui kama ana mahabari akupasishie wewe niyasome sitaki mie kabisa jana kama nakuona ulicheka sana nilivyokukatalia
Hahaha
Nimemuona asubuhi, kaenda pika vya Eid atakuja muda si mrefu
 
Hahaha
Nimemuona asubuhi, kaenda pika vya Eid atakuja muda si mrefu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilimsoma na mie anaenda kupika aliendelea kukusumbua kuwa nimpm

Nilikwambia asubili kama tunavyomsubili Yesu halaf ulijua utani sijui mie sitaki jamaan yaan pm hapna kwakweli acha niifunge tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…