Makapuku Forum

Leo katika Historia:

Segment hii leo inatimiza mwaka mmoja rasmi toka ianzishwe!
Ilianza kama utani utani, ila baada ya kupokea maoni ya wadau hapa ikawa official kila siku ipo pale nipatapo muda na hatimae leo ni mwaka mmoja.

Na hii ndio post ya kwanza ya Segment hii, angalia tarehe na mwaka.


 
Na ni moja kati ya segment bora hapa KF
Binafsi Siku usipotokeza naona kama nimepitwa na mambo kibao

Kitu kizuri jamaa unaandika "unachokielewa"
Big up mdau
..........
 
 
Pia, ikafatiwa na post hii, mawazo ya Jimena kuhusu Segment
View attachment 530853

The rest is history...
Kuna mdau alijaribu kuiga na kwenda kuanzisha thread awe anapost lakini akashindwa
Maana kukopi sehemu ni japo moja ila kuandika unachokifahamu ni jambo kingine....akaishia kujikanyagakanyaga tu
Nafikiri unamfahamu
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…