binamu jamaan pedeshee itabidi uongee nae wewe sasa binamu akubali si unamjua mjomba ako kichwa chake bh hana shida nilishamwambia nahitaji kuonana nae inabidi tupange siku binamu kweli ujue
Mama mchuchu ujiandae ngoja tupange mipango hapa Baba D akubali tu tunakuja kigamboni kwako kukusalimia na binamu obe anakuja nae kutoka mtwara kwake jiandaeee