BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ya TigoNa ile screen shot [emoji85] uliyonitumia pm mbona ina line mbili
Hii hii TO764...
Hahaaa...Baltika /Red blue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kilikuwa kinahusu nini kwaniHahaaa! Shukuru kwanza nimeacha siku hizi..
Muulize shunie kuhusu hicho kikosi hapo [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
1. Lee empire
2. Transcend
3.Mondray
4.Johnson mgaya
5.mkoroshokigoli
6. Fakalava
7.Nyagei
8. Mkubhi
Wazee wa wapinduzi.. [emoji3][emoji3]
Cc:
Shunie
Clkey
MhHapana aisee mshikaji wangu, nilitaka kupata uhakika Tu,
Yaan kama sio muislam mshkaji wangu unajitoa kabisaKwanini?
Oyooooooo!We ukitaka kujua angalia kwenye Mpesa tuu... Utakayoyakuta usinilaumu
Kaiangalie uone ka inaanza na 0764Hii hii T
MmmhKwenye kwaito bhana
[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]Hunaga dogo wewe
Me sijuiShunie ya kweli hayoo
Hivi umbeya wenu huwa mnapeana kwa screenshot?Na ile screen shot [emoji85] uliyonitumia pm mbona ina line mbili
Baba D siku hizi kule ndio kambi yako nyingine[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji120] Asante T ubarikiweUsitake ya kukute sasa!
Wewe muombee tuu akitaka kufanya upuuzi wake akumbuke kuwa upo..
Akumbuke kuwa anapaswa kukuheshimu kama mkewe na mama watoto wake..
Awe na hofu ya Mungu pia..!
Akijua hayo wala hakuna baya atakalofanya.
Ile messeji ya Hallo Pesa naona imefika [emoji3][emoji3]Hahaha
Ulivyo muongo hadi Mungu anakuona.... Sinaga voda mie
[emoji120] [emoji120][emoji524] MITHALI 16
1.Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu;bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA.
[emoji523] Asante Baba kwa kutuamsha salama,tuongoze,tufundishe,tuponye,tubariki mapenzi yako yatimizwe...Amen
NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA YA AMANI MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
Nawe pia mamii[emoji524] MITHALI 16
1.Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu;bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA.
[emoji523] Asante Baba kwa kutuamsha salama,tuongoze,tufundishe,tuponye,tubariki mapenzi yako yatimizwe...Amen
NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA YA AMANI MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
ooh hapo sawaYa Tigo