Makapuku Forum

I seee...anahistoria nyingi lakini picha huoneshwa tofauti na hii mpaka huitwa samaki mtu
 
Asante kwa dondoo za michezo Lee barikiwa
 
Haya ni maajabu huwezi amini kabisa lakini mambo ya Mungu na viumbe vyake hayachunguziki
 
I see maajabu ya meno
 
2/Prehistoric Con don't Ndo mnyama anayeshikilia rekodi ya meno makali zaidi duniani kuwahi kutokea
Keshatoweka duniani miaka mingi iliyopita hivyo hata picha zake ni utata
Aliishi takribani miaka milioni 200 iliyopita
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…