Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
So sadYaani katika hili Amefeli,naamini kwa mauaji haya ni muda mrefu sasa angesimamisha mambo yote nguvu,maneno,ushirikiano vingeelekezwa Kibiti..ingekua kwa wenzetu hakika kuna mtu angejiuzulu..ukitafakari inaumiza sana...nina binti mdogo namfahamu mume wake aliuawa mwanzoni mwanzoni yaani hivi sasa hakuna mtu anamkumbuka na watoto wadogo,wale vijana nao waliouawa kwa mpigo ?sijui wazazi wao nani anawakumbuka inaumiza pale ambapo hakuna ufumbuzi yaani tuendelee kusubiria misiba..Mungu aingilie kati hili jambo linaumiza wengi..serikali yenyewe itaajiri familia je?wajane?wazazi?yatima...so painful jana tena askari wanauawa gari inachomwa moto mazimaaaa[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Kitu Waafrika hatuthamini uhaiYaani katika hili Amefeli,naamini kwa mauaji haya ni muda mrefu sasa angesimamisha mambo yote nguvu,maneno,ushirikiano vingeelekezwa Kibiti..ingekua kwa wenzetu hakika kuna mtu angejiuzulu..ukitafakari inaumiza sana...nina binti mdogo namfahamu mume wake aliuawa mwanzoni mwanzoni yaani hivi sasa hakuna mtu anamkumbuka na watoto wadogo,wale vijana nao waliouawa kwa mpigo ?sijui wazazi wao nani anawakumbuka inaumiza pale ambapo hakuna ufumbuzi yaani tuendelee kusubiria misiba..Mungu aingilie kati hili jambo linaumiza wengi..serikali yenyewe itaajiri familia je?wajane?wazazi?yatima...so painful jana tena askari wanauawa gari inachomwa moto mazimaaaa[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Sijui nani katulogaKitu Waafrika hatuthamini uhai
Wazungu hata akifa mtu mmoja tena kwa matukio maalum huyavalia njuga
Waafrika wanaweza kufa 70 na usiwe msiba wa Kitaifa
......
In Swahili plz...DID YOU KNOW ?
Nikisikia KIBITI KWELI BP INANIPANDA,NASIKIA UCHUNGU SANA .[emoji24] [emoji24] [emoji24] NAOGOPA HIVI HATMA YETU IKOJE...TUMUOMBE SANA MUNGU[emoji120]Kitu Waafrika hatuthamini uhai
Wazungu hata akifa mtu mmoja tena kwa matukio maalum huyavalia njuga
Waafrika wanaweza kufa 70 na usiwe msiba wa Kitaifa
......
Huwa sipendi kabisaa paka aniguseDID YOU KNOW ?