Asante balozi kwa hii make ni zaidi ya chemsha bongo
Mawazo yangu ....
Hii picha ina connections na watu watatu amabao wanaweza kuwakilisha taasisi zaidi ya moja ...
Nianze na mtu wa mwisho amabaye ndo kavaa mask naweza kumuterm mharifu lakini nyuma yake kuna askari yawezekana huyu jamaa kiburi anakipata kutoka kwa wa nyuma wake ambaye na huyo askari kinamna moja anapokea order kwa kibosilee...
Summary mtu anafanya kitu kulingana na connection aliyonayo ...
Asantee za leo ngumu kumezaa kabisa ila ngoja tutoanee tongotongo ...
Hii kama bint anajilazimisha kujitwisha mzigo hasioweza make kamwili kadogo ila matiti kayatunisha nimerefer sisi tunavyotuna kukabiliana na hali fulan