Asante mama mchungaji kwa neno[emoji524] ZABURI 5
3.BWANA, Asubuhi utaisikia sauti yangu. Asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.
[emoji523] Baba asante kutuamsha salama tunaomba toba kwa makosa yote tunayofanya kwa mawazo maneno na matendo tunaomba uturehemu,tunajikabidhibkwako jumamosi ya leo tuponye,tuongoze ,tutunze,tufariji sawa na mapenzi yako .Linda wasafiri tuokoe katika hatari zote za mwili na roho tunaomba yote kupitia mwanao Yesu Kristo Amen
SIKU NJEMA WAPENDWA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
Ubarikiwe Lee wa Shunie siku njemaAsante mama mchungaji kwa neno
Kaamkia chembaBhinamu umeamka salama ??
Yaani kama ulikuwa unamvizia vileBhinamu umeamka salama ??
Salama kabisa, vip pande hizoKumekucha salama bandugu ...soon tupate UF..
Baghdad si aliuwawa kipindi kile Osama naye anauwawa
Huyu ni mchawi ndio maana nikamuachaAkijibu ndo nitayasema
Asante kwa UF na dondoo za BBC, nawe pia siku njemaTuwe na siku njema
Amen, Asante mama mchungaji kwa neno[emoji524] ZABURI 5
3.BWANA, Asubuhi utaisikia sauti yangu. Asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.
[emoji523] Baba asante kutuamsha salama tunaomba toba kwa makosa yote tunayofanya kwa mawazo maneno na matendo tunaomba uturehemu,tunajikabidhibkwako jumamosi ya leo tuponye,tuongoze ,tutunze,tufariji sawa na mapenzi yako .Linda wasafiri tuokoe katika hatari zote za mwili na roho tunaomba yote kupitia mwanao Yesu Kristo Amen
SIKU NJEMA WAPENDWA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
Km huyu ni kubwa LA maadui steling ni nani?!Kubwa la maadui upo?
Pole Obe unaendeleaje? Mungu akuponye, uko wapi nije nikuone nikujulie haliAnko, asante kunijulia hali. Siko salama kivile, sema tu nashukuru maumivu yamepungua baada ya kumuona dokta usiku.
Vipi wewe
Asante Lee nawe piaTuwe na siku njema