Huu utani sasa. Segerea kweli au Ukonga inaweza kutokea hii? Mpaka na wanawake na Plasma TV? Ila kwa Mexico inawezekana hasa kama wafungwa ni kingpins wa madawa ya kulevya. Pablo Escobar aliwahi kuishi katika gereza lenye hadhi kuliko White House ya Marekani kwa vitu vilivyokuwemo ndani na vyakula alivyokuwa anakula.