Unazitoa wapu hiz na zile nyingine i mdau
......
Mi nakujua kupitia kwa Lee.... Nikimuona Lee jinsi alivyochizika najua lazima dadaangu atakuwa moto.hivi kaka unajua me nafananaje achaneni na avatar fake jamaan
PoaHuwa nagoogle funny pics gif, then unapata uption kadhaa.
Ninatumia laptop so sijawahi kujaribu kwa kutumia simu.
Navutiwa na vituko uswahili katuni, mchoraji ni yule jamaa wa nipashe KingO, ninazipata vipi?
haha! mkuu kila siku shughuli..! wewe utakuwa kiboko!Huo mda wa kuhadithiana na shughuli ifanyike saa ngap
tupooo! karibu mpaka chumbani na viatu usivueMakapuku
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haiwezi tokea hii
fanya maombi yakufunga nakuombaNatafuta mchumba
Here we go again with the "dadaangu" crap...!Mi nakujua kupitia kwa Lee.... Nikimuona Lee jinsi alivyochizika najua lazima dadaangu atakuwa moto.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] niachien shunieLee anapambana...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Pambana salama mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] niachien shunie
Ntapambana mpaka mwisho wa jf[emoji4] [emoji4] [emoji4]Pambana salama mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Utanitag wakijibuKila lugha ni pana na inajitosheleza...