Marhaba mama D
Mm wa tz ..usinitafutie matatizo kwa wazee wa maayonizeee ...nyagei
hahahha nimekumbuka mbali [emoji85] kipindi kile cha mwanzoni eti me mtanzaniaMarhaba mama D
Mm wa tz ..usinitafutie matatizo kwa wazee wa maayonizeee ...nyagei
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we ni wa dar kama shem nyageiKibaha mkoani
nipo poa shemela wangu za wewe na mke mweeUko poa lakini shemela wangu
hahhahh namzingua bana najua Baba D ye ni wa wapiUkitaka kumjua baba D,muulize D wewe ni wa wapi
Nyonga mkalia ini jaman mm sio mm ni obe ameyasema ...alafu mm nilivorudii si nimeweka mia 9 mezan na leo tunafunga??Baba D me ninaishia hapa siendelei tena kusoma [emoji134] [emoji134] nina ombi nilikua nataka niendelee kusoma mpaka nikutane na story lakini nimeshindwa mimi naomba nikopie mume wangu mpenzi niisome naogopa nisije nikaendelea nikakutana na mazito zaidi ya haya [emoji134] mapigo ya moyo yameshaanza kubadilika nisije nikakufwa ghafla ndio mana ulirudi nyumbani hauna hela wala wallet kumbe uliziacha huko na na kina kidawa na cheusi kwenye nyimbo za vvu ila mimi navumilia mengi jamaan
Jaman shunie ebu wawekee Kahandsome ketu DUkitaka kumjua baba D,muulize D wewe ni wa wapi
Mm nimemuitaa amwambie mm wa wapUgomvi huu sasa hahaaaa
Cc. Nyagei
Mweh wewe .....[emoji3] [emoji3] [emoji3]hahahha nimekumbuka mbali [emoji85] kipindi kile cha mwanzoni eti me mtanzania
hapana Baba D tusimuweke mtotoJaman shunie ebu wawekee Kahandsome ketu D
mia 9 [emoji15] inasaidia nini hata tigo hawajazi halaf kufunga huwezi kukurupuka tu sababu eti huna hela umezihonga huko ulipokua kufunga lazima umuombe Mungu apokee funga yako hya ya ghafla md siwezi kufunga [emoji134] sababu nitakuwa nimefunga bureNyonga mkalia ini jaman mm sio mm ni obe ameyasema ...alafu mm nilivorudii si nimeweka mia 9 mezan na leo tunafunga??
Bhinamu wako lakin alisema hawez kukuacha ukiwa na aman...wallet anayo bhinamu ...
Mm nakupenda wewe cheupe bonge wangu kivurugee wa mtima wangu
Ewaaaah ...au wakikusumbua kaweke avatarhapana Baba D tusimuweke mtoto
[emoji85] [emoji85] nicopie basi story Baba D hapa shemela shululu anasubiri kwa hamu jibu linalokujaMweh wewe .....[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Ahsante shemela
Mama tunaendana na hali halis ...alafu bhinamu analetaa wallet baadaemia 9 [emoji15] inasaidia nini hata tigo hawajazi halaf kufunga huwezi kukurupuka tu sababu eti huna hela umezihonga huko ulipokua kufunga lazima umuombe Mungu apokee funga yako hya ya ghafla md siwezi kufunga [emoji134] sababu nitakuwa nimefunga bure
Wewe story nimeweka mwanzoniii ...kusanya pesa[emoji85] [emoji85] nicopie basi story Baba D hapa shemela shululu anasubiri kwa hamu jibu linalokuja
hapa sawaEwaaaah ...au wakikusumbua kaweke avatar
hayo mambo ya kusearch ndio sijui kabisa [emoji134] mke mwee naomba unicopie episode ya 2Wewe story nimeweka mwanzoniii ...kusanya pesa
Seach
[emoji134] [emoji134] [emoji134] nkumbushe hny wngu ww wa wap vileAisee [emoji134] [emoji124] [emoji124] [emoji124]