Stupid Criminals wa leo wanakujia sasa hivi. Kama kuna mtu anajua ambako naweza kuwapata stupid criminals wa kwetu huku Afrika (ya Mashariki) basi anitonye. Na kesho mjiandae kwa falsafa - thread mpya ambayo itakuwa inawajia siku za wikiendi tu pekee.