mke mwee ukijibiwa niiteShemela kwan mama mchuchu asha kabidhiwa kwa binamu
kwema mkee mwee za wewe nilikumiss hukuMke mweee kwema
ngoja waje wanaobetWacheza kamari hupoteza pesa nyingi kwa kubeti kuliko zile wanazoshinda
hahahah binamu ananichosha sana mke mweembavu zangu mm
Mhhmke mwee ukijibiwa niite
Saa yake imepoteza majirahahahah binamu ananichosha sana mke mwee
Smart phone hajui kama ina saahahahah binamu ananichosha sana mke mwee
Ya kwako uliulizaa hivo...eki nimesikia kuna kapuku ananipenda yaan wewe unasema hivo ...mukongo akanitajaaa
Mukongo be blessed with Blessedhope
Shemela wangu vipi jamaan sababu mama mchuchu ni wa mushenga mukongo
Mama mchungaji huko aliko akipita humu, inaonekana huwa anafurahi sanaShemela wangu vipi jamaan sababu mama mchuchu ni wa mushenga mukongo
hawezi mgeuka mukongo anajua alipotutoana binamu umeshamgeuka
ISAYA 40
31."Bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya;watapanda juu kwa mbawa kama tai;watapiga mbio wala hawatachoka.
TUOMBE
Baba asante kwa kutufikisha umbali huu,asante kwa wema wako na fadhili zako zisizo na mwisho.
Bariki kazi,ndoa,familia,wasafiri.
Ponya wagonjwa,watie moyo wafiwa ,yatima.
Tutie nguvu ya kukungoja wewe na kukutegemea siku zote za maisha yetu.
Baba tunakupenda,tunakuheshimu,tunakutukuza,kunakushukuru kwa yote tunayoyapitia..upo nasi daima Mfalme wa Amani.
Roho Mtakatifu tawala maisha yetu,tufundishe kusamehe,Upendo na uvumilivu daima
Katika jina la Yesu Kristo mpatanishi na mwokozi wetu..Amen
MUWE NA SIKU NJEMA ,MBARIKIWE
Sio mimi yeye mwenyewe alisemashemela ebu acha bana
Lunch timena binamu umeshamgeuka
Mama mchungaji huko aliko akipita humu, inaonekana huwa anafurahi sana