Asante Lee kwa UFTuwe na siku njema wanafamilia yetu pendwa na kama kawaida yetu ....
Shukran Bitoz1/Mantis Shrimp
Kwa kiswahili anaitwa uduvi
Ni uduvi wa kundi la Stomatopodia
Wana kucha kali zenye uwezo wa kuvunja glasi au kukigawanja kidole cha binadamu sehemu mbili
Macho yao ni ya kuvutia
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Rukutane kesho
Mwisho
.......