Assante mkuu shululu kwa vichwa vya habari magazetini.View attachment 517845Kwa udhamini mnono wa shemeki husna muba, sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu
Basi mwambie Shedede ajiandaeHuku kwetu inaitwa ya mwajala sio ya mkeka
Unachokitakaa nakijuaaa ...ila nakipa mda[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87]
Nakutania mkuu mambo ya bei za bia siyajui
Asante ipogolo, nafaidi nini mkuuAssante mkuu shululu kwa vichwa vya habari magazetini.
Husna muba shukrani kwa udhamini mnono. Shululu unafaidi.
Asanteee mume mweeeeeView attachment 517845Kwa udhamini mnono wa shemeki husna muba, sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120]View attachment 517845Kwa udhamini mnono wa shemeki husna muba, sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu
Anafaidi nn mkuu?!Assante mkuu shululu kwa vichwa vya habari magazetini.
Husna muba shukrani kwa udhamini mnono. Shululu unafaidi.
Ile haina kujiandaa mkuu nyiee mnavizia tupo room tunafanya yetu then mnatuvamia yaani inakuwa km surprise[emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi mwambie Shedede ajiandae
Ohooo....Unachokitakaa nakijuaaa ...ila nakipa mda
Wala usiofuuuOhooo....
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tutabakiza Voda tu!
Morning ...Morning
Changa la macho, siamini pato la madini kuongezeka kwa siku mbili tatu tangu lianze suala la ACACIA
[emoji123] [emoji123] [emoji123]Unachokitakaa nakijuaaa ...ila nakipa mda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]husuda umewajaaaIle haina kujiandaa mkuu nyiee mnavizia tupo room tunafanya yetu then mnatuvamia yaani inakuwa km surprise[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila hainogiiii uzuri tujiandae tupike wali mshaafu na mengineyoo
Pamoja sana mume mweeeAsanteee mume mweeeee
Mbona mbio nyingi... Au ndo unatangulia?Ohooo....
[emoji125] [emoji125] [emoji125]