Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 333
watu wengi wanachukulia uamuzi wa Lema kwenda jela kwa hiari ni uamuzi wa kipuuzi lakini kwa mtu anaefuatilia na anaefahamu mchezo wa uchangaji kete za kisiasa jamaa sio mjinga, ana sababu ambayo huenda hawa jamaa nao wameshagundua.
By the way, Lema has made the made at such a perfect timing....Jamaa kwa kweli ana akili na ni muhimu hili watu wa Polisi na Usalama waliangalie bila kupuuzia......Arusha sio pa mchezo na Lema anajua hilo

Lakini la muhimu ni kuhakikisha kuwa ana-achieve kile kilichosababisha mpaka akatalie mahabusuMkuuu ongera kwa kuliona hilo.
Sijuuu sasa polisi watamtisha nanini kama mahabusu kakaa,selo za polisi kakaa siwelewi polisi watakuja na njiaa gani sasa.?
Nguvu Silaha pendwa 'vitisho na matendo' ya kikandamizaji naona imeanza kuishiwa nguvu.
"Now people are gathered on the beach and the leaders try to make a speech,every where fire is burning.........."
by Robert Nesta Marley