makanisa yamenufaika sana na yanaendelea kunufaika na MOU pamoja na misamaha ya kodi.
Ndiomana serekali ilipojaribu kufuta misamaha ya kodi kwa taasisi za dini wakapiga kelele mpaka ikashindikana.
Sikonge na jakamoyo mmedanganywa na sheikh Ponda mnacheza ngoma msiyoijua kila siku tunawaambia ukiambiwa neno lichunguze na tena utumie na akili yako kufikiri.
Bora tusiyachoma makanisa, kwa sababu kodi itaongezeka na ufisadi utaongezeka ili wakuu wakina Edward na wakiristo wengine wezi wakachangie makanisani
Sasa kama MOU si kwa taasisi za makanisa peke yake,kwanini msijitokeze kuwaambia hayo waislam especially humu ambapo wamekuwa wakipotosha kwamba ni mikataba ya makanisa na serikali ambayo ni ya kifisadi?Ni akili mgando hizo.
*Kwani waislam wanakatazwa kuwa na 'MOU' na serikali.
*MOU haiko kwenye taasisi za kidini pekee na serikali, zipo taasisi nyingi za umma kama NHC, NSSF, NIC wana 'MOU' na taasisi binafsi ikiwemo miradi mbalimbali.
*Hivi unajua kuna miradi mingapi ya afya inayomilikiwa na kanisa, na faida yake kijamii? Wewe hukai kijijini na wala ukiugua hutibiwi kijijini, maana ungeyajua haya wala usingesema.
*Makanisa yalianzisha miradi hiyo kuhudumia jamii nzima pasipo kubagua mtu kwa misingi ya kidini.