jamaikatz
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 369
- 1,252
Makanisa yangekuwa na utaratibu kama wa misikiti ingekuwa poa sana
Unaingia kanisa lolote lililopo karibu yako
Unakula zako neno unasepa bila kuambiwa ujitambulishe, kuulizwa umetokea wapi au una sali wapi ??
Itatusaidia kufocus na Mungu badala ya kufatiliana kibinafsi 🤔