Makanisa ya kiroho mnatupeleka wapi?

Hapa Kuzika Haiwi Ardhini Bali Ni Kuzamisha Kwenye Maji Mengi. Ni Ishara Ya Kuzika Utu Wa Kale Na Kuibuka Na Utu Mpya
Hivyo maji yanatumika kama ishara tuuu....si ndio..??? Hapa tunakubaliana...???


Je! In real sense hayo maji yanaondoa dhambi..?? Kivipi...??
 
Kiranga rafiki yangu siku hizi umegundua kuna Mungu! Wewe huyuhuyu usiyeamini Mungu anaishi wapi hizo sadaka unampaga nani??
 
Basi, enendeni,mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu
Hayo mataifa yote ina maana watu wote!

Je! Waeza nionesha ni wapi Yesu ali-specify umri wa kubatizwa(maandiko tafadhsli)


Je! Mtoto ni Mtu, kitu, mdudu...??? Mtoto anawekwa kundi gani...?????


Nyie ndo wale watoaji mimba na wauaji wa watoto kwa kisingizio mtoto hajitambui, sio binadadamu


Nipo
 

Siyoya kiroho hayo
 
Hospital,shule na kadhalika hakuna huduma za bure zote unalipia uwe umetoa michango au hujatoa malipo yapo pale pale.

Hebu nenda kapange fremu ya kanisa uone kama watakupunguzia kodi kisa unatoaga michango kanisani.
Ukitoka hapo unasema kanisa katoliki wezi wakati ukiumwa unaenda kutibiwa kwenye hospital zao
 
Hospital,shule na kadhalika hakuna huduma za bure zote unalipia uwe umetoa michango au hujatoa malipo yapo pale pale.

Hebu nenda kapange fremu ya kanisa uone kama watakupunguzia kodi kisa unatoaga michango kanisani.
Akili tatizo ni ndogo hapo hapo kwenye hospital inasadia maana wasingejenga mngeishia kwa waganga then bado hivyo vitega uchumi vinakuza uchumi wa eneo husika ndo maana miradi yakiafrica inafulia kwasababu wanawaza wakichangia tu waikomoe Sasa mnachangishwa repair au inakuwaje. Tupunguze ujinga na bwerere jamani
 
Kiranga rafiki yangu siku hizi umegundua kuna Mungu! Wewe huyuhuyu usiyeamini Mungu anaishi wapi hizo sadaka unampaga nani??
Dhana ya kwamba watu wasioamini kuwapo kwa Mungu hawawezi kutoa sadaka ni dhana potofu.

Ni dhana inayotokana na mawazo finyu kwamba sadaka inatolewa katika muktadha wa dini za Mungu tu.

Wakati kwa kweli sadaka ni kusaidia bila kulazimishwa. Na hujajibu hoja za hapo juu kwamba, anayesaidia kwa sababu kataka tu mwenyewe kusaidia, bila kutaka mbingu, kumoendeza Mungu wala kuogopa moto, amesaidia kwa hiyaribyake kuluko anayesaidia kwa kumuogopa Mungu, kwa kutaka mbingu na kwa kuogopa moto.

Hii dhana ya kwamba usipoamini Mungu huwezi kutoa sadaka (kusaidia watu wengine kwa hiyari na nia njema bila kutegemea kuliowa) inaonesha kwamba mtu anayefikiri hivi hajasoma falsafa ya dini, hajui utubora na hajui kwamba kuna dini ambazo hazikubali kuwapo kwa Mungu, lakini waumini wake wanatoa sana sadaka na wanaamini sana katika kusaidiaana. Buddhusm ni mfano.

Ni ufinyu wa mawazi nanutovu wa ujuzi tu unaoweza kumfanya mtu aine kwamba mtu asiyeamini kuwapo kwa Mungu hawezi kutoa sadaka.

Dhana ya sadaka imepita uwanda mdogo wa habari za Mungu.
 
Waislamu bana......hii tabia yenu bado hamjaacha...

Kanisa lipokee ruzuku ili iweje...??? Kasome MOU uje hapa tena
Nani kakwambia mimi ni muisilamu? Mimi ni mkristo.
Nachomaanisha kwenye ruzuku ni kwa hizi hosp za kanisa kwa sasa hivi nyingi zinaendesha na ruzuku toka serikalini kwa zaidi ya asilimia 75. Na hata hivyo gharama za matibabu ni juu sana kiasi kwamba mlala hoi haziwezi kabisa japo ana michango hapo itokanayo na kodi yake.
 
Very good! Umeandika vyema sana mkuu, nakubaliana na wewe. Ingawa sadaka ina umuhimu lakini siyo kipaumbele cha MUNGU. Kuna vitu MUNGU anataka kutoka kwetu na siyo Sadaka. Kuna mifano mingi sana kutoka kwenye Biblia imeelezea hili. Soma comment yangu namba [HASHTAG]#131[/HASHTAG].
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee so zile hospital za wamisionari mnaaanza simangia watu anyway wasipojenga serikali itajenga na pia hata kwa waganga watu wanapata tiba hebu acha kuwasimanga akina Mshana Jr . kabla ya dini hazijaja afrika mizizi ilitumika kama tiba na pia serikali inagharamia kwa kiasi kikubwa hizo hospital za kanisa.

Akili kubwa na wahindi watasemaje kuhusu hospital zao?au nazo umeziiba kupeleka umiliki kwa kanisa?

Tupunguze kukurupuka jaman sio kila hospital ni ya kanisa,na sio bila kanisa hakuna hospital
 
Sasa vijijini Kuna hospital za wa indi mi nakuona you are on denial
 
Mkuu kizungu kina wenyewe,andika tu kiswahili,umeona wahind tu hapo hujaona wamisionar hapo?
Sasa vijijini Kuna hospital za wa indi mi nakuona you are on denial
 
Nani kakwambia mimi ni muisilamu? Mimi ni mkristo.
Nachomaanisha kwenye ruzuku ni kwa hizi hosp za kanisa kwa sasa hivi nyingi zinaendesha na ruzuku toka serikalini kwa zaidi ya asilimia
Utakuwa mkristo wa hovyo kabisa.....

Hivi unaweza kuwa na akili timamu ukahoji ruzuku. ??? Madai hayo ya kshenzi kabisa nilikuwa nayasikia kwa Waislam(faiza foxy, Mzee MS, )....au wewe ni Msabato...???


Unafikiri Serikali isingeweka ruzuku(Subsidies) wagonjwa wa kawaida wangeweza tibiwa...???
 
Blind faith,yaani utoe tu,wala usijishughurishe na kujua hizo fedha zinatumikaje,kwa vile zinapokewa na "mpakwa mafuta wa Bwana" wewe usijari hata akizifanyia ufisadi,wewe mtoaji utakiwi kuhoji,Mungu atamuadhibu,
Kama imani yako ndio hii,pole sana,
Unapotoa sadaka yako madhabahuni huwa unamtolea nani? Mungu au mwanadamu?
 
Hapa ndipo kanisa linopopiga hela za serikali likijumuisha na sadaka zisizo za hiari. Sadaka hizi unaweza kuziita michango ya sharti ya washiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…