Makanisa ya kiroho mnatupeleka wapi?

jibu swali , Bwana Yesu hakulalamikia wanasheria kuwatwisha watu mizigo ambayo viongozi wenyewe hawaibebi ? unakimbilia wazungu wazungu,hivi yule mchungaji ambaye jina lake linaanzia K, au yule L, au yule M, waambiwe watoe fungu la kumi la mapato yao ya mwaka , WATATOA ? acha utani bwaaaana !
 
Sasa kumbe hata dhana nzima ya ubatizo huifahamu ?
Mimi kukuuliza wewe dhana nzima ya uabatizo kama unaifahamu, haimaanishi mimi sijui maana ya ubatizo..

Ujibiwaje Wakati Unaona Ni Upuuzi Tu ?.
Kwanini unanilisha maneno....??


Ni Ngumu Kumfundisha Mwanafunzi Ambaye Hana Utayari Wa Kujifunza.
Hii Hunaita " escapisism".... Ni labda pia hujui maana halisi(context) ya ubatizo, viashiria vya ubatizo(maji, mafuta nk nk).....

Hizo uliziandika hapa ni blah blah blah tuuu za kuomba sympathy...

Sasa fanya hivi, mimi na wewe njoo tujadiliane maana ya ubatizo....
 
Wajasiriamali wa kiroho ni wengi siku hizi wajinga ndo waliao
 

Hao uliowataja wanatoa kuliko unavyodhani,wanatoa kuliko yeyote kati yao.Kanisa lolote la kiroho kiongozi ukiwa hautoi wewe na watu wako mtakua maskini na hakutakua na nguvu ya Mungu hazitaonekana.Wewe kwa kukosa ufaham unawahukumu hao.Hayo yanafanyika huko kwenye makanisa ya kimwili ,huko kwenye dini siyo kwenye makanisa yanayoongozwa kwa roho Mtakatifu.
 
Ya Kaisari mpe Kaisari na ya Mungu mpe Mungu.
 
Mnyukano Wa Hii Hoja Inatakiwa Ijitegemee. Hapa Kuna Hoja Nyingine Inaeendelea. Fahamu Kwamba Ubatizo Ni Dhana Pana. Hapa Tunazungumzia Ubatizo Wa Maji (mengi) Pia Kuna Ubatizo Wa Roho Mtakatifu, Waujua Huo?. Naona Unajitahidi Kuimegamega Hoja Na Kuivunjavunja Lakini Bado Huelewi Dhana Ya Ubatizo Kwa Mapana. Anzisha Mada Ya Ubatizo Ujibiwe Kwa Hoja Maridhawa Na Rejea Za Kutosha Kutoka Kwenye Maandiko Mbalimbali Yahusuyo Ubatizo.
 
Mnyukano Wa Hii Hoja Inatakiwa Ijitegemee. Hapa Kuna Hoja Nyingine Inaeendelea. Fahamu Kwamba Ubatizo Ni Dhana Pana. Hapa Tunazungumzia Ubatizo Wa Maji (mengi) Pia Kuna Ubatizo Wa Roho Mtakatifu, Waujua Huo?. Naona Unajitahidi Kuimegamega Hoja Na Kuivunjavunja Lakini Bado Huelewi Dhana Ya Ubatizo Kwa Mapana. Anzisha Mada Ya Ubatizo Ujibiwe Kwa Hoja Maridhawa Na Rejea Za Kutosha Kutoka Kwenye Maandiko Mbalimbali Yahusuyo Ubatizo.
 
Hapa Tunazungumzia Ubatizo Wa Maji (mengi) Pia Kuna Ubatizo Wa Roho Mtakatifu, Waujua Huo?.
Ubatizo ni ubatizo...Ubatizo unalenga kitu fulani...hiyo dhana au staili za ubatizo ni ujinga wa kiwango cha lami....sijui ubatizo wa moto, roho mt, maji mengi.....ukiashaona mtu anaongelea hayo ujue hajui ubatizo ni nini.., na ulilenga kitu gani...
 
Lakini Bado Huelewi Dhana Ya Ubatizo Kwa Mapana. Anzisha Mada Ya Ubatizo Ujibiwe Kwa Hoja Maridhawa

Ndio maana nimekuambia mimi wewe tujadiliane tuwekane sawa....

Mwisho wa siku utajaniambia watoto hawaruhusiwi kubatizwa
 
Ndiyo Wanatoa Na Wao Sehemu Ya Mapato Yao
 
Ndio maana nimekuambia mimi wewe tujadiliane tuwekane sawa....

Mwisho wa siku utajaniambia watoto hawaruhusiwi kubatizwa
Ndiyo, watoto wadogo hawabatizwi, wale wanabarikiwa tu. Wakiwa watu wazima watabatizwa maana ufahamu wao umeongezeka. Halafu kwa nini uko critical na imani ya dini ya dhehebu lako?, hebu toka huko uwe huru kufikiri tofauti na ulivyokuzwa na kukomaa na mafundisho ya kimapokeo na kihafidhina
 
Wewe unabatizwa kwa njia ya yohane au yesu
 
Hatuendi kanisani kupunguza stress na ugumu wa maisha tunaenda kumwabudu Mungu
 

Ndio maana Nabii Tito alitoka kivyake!
 
Hata kama hakuna wamisionari kuweka sadaka nne ibada moja hakuongezi sadaka inayotolewa sana sana watu wanachofanya ni kuchenchi pesa wanaingia ibadani na bukubuku...
 
Huyo huyo mchungaji anajitapa kwamba kufa maskini ni ushamba. wakati unamchukulia hata kidogo alichonacho huyo maskini tena kwa lazima. Stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…