Makanisa ya Kilokole yana shida kubwa sana

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
11,250
Reaction score
24,081
Haya makanisa kwanza yapo kibiashara zaidi.

Nikweli makanisa yote yapi kibiashara lakini ya kilokole yapo kibiashara nje nje bila kufichwa utaambiwa live.

Hii ni mifano michache tu

•Kumuona mchungaji,Mtume au nabii Hela.

•Kuombewa hela

•Utauziwa maji,sabuni,mchanga,vitambaa, mafuta nk.

Kitu kinachotukela hata sisi ambao hatuyasali haya makanisa yenu yana KELELE KUBWA MNO.

MFano Leo sijalala tangu nitoke kazini maana makelele yanapigwa hapa sijawahi kuyasikia popote. Sio miruzi sio watu wanaolia nk hadi imenibidi nisitishe tu kulala kwanza

Siyo kwamba hatuwapendi walokole lakini mnageuka KERO kubwa sana.

Hapa nipo jirani kabisa na kanisa la wasabato kama mita 400 kutoka kwangu lakini Jana nimelala vizuri tu hakuna KERO niliyopata ....pamoja na kwamba walikuwa na sabato sijui ya wageni lakini hapa kuwa na makelele hivi.

Hii imetufanya tujiulize maswali mengi wanao sali haya makanisa ni wavuta bangi au ni matahira hadi mpige miruzi na ukunga makanisani?

Huwa nashangaa sana Kumuona mwanaume na family yake kaongoza njia kwenda kwenye makanisa haya si kwamba tunapangiana lakini Yana uwalakini sana.

Hayachagui mivao utakavyokuja ndivyo watakavyokupokea ili mradi una uhakika wakutoa sadaka tu

Kanisa la masanja mkandamizaji yeye alisema hata ukienda nguo namna Gani ni sawa tu Mungu anaangalia moyo na siyo mavazi yake.

Hii ilitokea ni baadhi ya viongozi wa kanisa lake kuvaa nguo zinazo onyesha hadi maungo Yao.

Makanisa haya hapana asee

PICHA UBATIZO UKIENDELEA KWENYE MOJA YA MAKANISA YA KILOKOLE.
FB_IMG_1772961450129.jpg
 
View attachment 3554774
nakubaliana na wewe kabisa ipo namna, na sio kama Mungu amekaa kimya huwa anawachapa sema hawasemi tu,na bado Mungu atayaumbua tu,
 
njoo uone Seran
 
s

ila dhambi ya kuzini kwa kutamani ipo live, ndiyo maana ya dhana tubuni nyakati zote msijihesabie sio wakosefu,sisi ni wadhambi 😌 hakuna namna unaepuka hapo
 
Juzi nilikua naangalia BBC ikaisha nikajikuta nmekaa tu mara akaja mchungaji sijui wa Mwanza aisew anawanywesha watu nn sijui ndio anaombea kuna kijana sijui kafungwa mdomo asiongee mara akikaa hainuki haki nilicheka pamoja na kusikitika sana yani matendo ya ajabu kabisa
Hawa watu ni zaidi ya waganga wa kienyeji. Kwa kifupi uganga wa kienyeji umebadilika na kuhamia kwenye hayo makanisa. Huo ni mtaji wa CCM ndiyo maana serikali inaachia wafanye watakavyo.
 
Mtoa maada,tofautisha kati ya makanisa ya kilokole na makanisa ya watu binafsi.

Tanzania imekuwa na makanisa ya watu binafsi mengi sana,hayo utakuta analiendesha kanisa yeye mwenyewe anavyoona inafaa. Haya yana kelele sana kusema ukweli,yapo kati kati ya makazi, na muda mwingine hayana watu wengi ila kelele zinasikika mtaa mzima.

Kuna kanisa moja la mtu lilikuwa katikati ya makazi, wanachofanya wana modify tu nyumba ya kuishi inakuwa kanisa; jioni lilikuwa na ibada utakuta kuna watu wawili tu ila hilo kelele🙌🙌🙌 sjui hiyo ina maana gani kwa wenye wanajua?
 
Back
Top Bottom